Job 7:13-14


13 aNinapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji,
nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu,

14 bndipo wanitisha kwa ndoto
na kunitia hofu kwa maono,
Copyright information for SwhKC